Optimal Even Out New C4 Catalogue Set

"Optimal even out
Ni set mpya yenye vitu vikuu vitatu. Mafuta ya kokwa za cranberry (vitamin E), majani ya meadowsweet (vitamin C) na matunda ya gooseberry.

Hii set ina kazi kuu tatu, ambazo ni:-

1. Inasaidia kupunguza madoa meusi (darkspot) kwenye uso na pia kuprevent new darkspots from forming.
NB: haiondoi madoa bali inapunguza tu muonekano wa hayo madoa.

2. Inaung'arisha uso, kuupa uso unyevu, na inaupa uso virutubisho, hence afya. (hii itasaodia ngozi ya uso kukazaka na hence preventing premature aging).

3. Inasaidia kuulinda uso against mionzi ya jua kwa kuongeza mda wa kukaa juani zaidi (SPF 20)(SUN PROTECT FACTOR).

Na haya matokeo unapata ukitumia set nzima..."

Jipatie seti yako sasa kwa Matumizi yako.
Call & Sms 0657262147
WhatsApp 0764536186

Comments