Wonder Oil Mafuta Yenye kazi nyingi N wa Binadamu dani ya mwili

Hellow habari ,je wajua uzuri Wa wonder oil ya Oriflame?? Ni mafuta mazuri sana na yanafanya kazi nyingi mno ikiwemo kupaka mwilini,kupaka kwenye nywele,kumpaka mtoto mwilini,kufanyia massage,kutoa michirizi mwilini,kula inaisha ngozi,kufanya kama steaming ya nywele,kwa wamama wajawazito wanapaka kwenye tumbo hasa Kwa wale wanaolalamika kubanwa tumbo,kama unapauka mwili unaweza kuyatumia Kwa kumiminia kwenye maji unayoenda kuoga na mwili wako ukawa vizuri sana ,usikose mafuta haya mazuri ndo mana jina lake linaitwa Wonder Oil yanashangaza sana Kwa kazi yake,yametengenezwa Kwa tangawizi na almond oil!! Jipatie ya kwako sasa Wasiliana nami kwa Offer .
.
.
.
.
Call&Sms 0657262147
WhatsApp 0764536186

Comments