Watu wengi hupuuzia madhara yanayoletwa na bidhaa ambazo hubadilisha rangi za ngozi.Leo naomba nikupe somo utanishukuru.
Bidhaa hizo nyingi huwekwa kemikali kali bila kipimio maalum na kikubwa huwekwa kemikali ambazo sio salama kwa binadamu.Madhara yanayoletwa kwa binadamu ni kama haya;
1.kemikali hizo hunyonywa na kuingia kwenye mfumo wa usafi wa mwili ambapo huleta madhara kwenye Ini na figo.
2.Pia hushusha uwezo wa kinga ya ngozi na kuifanya iwe inahathirika kirahisi na fungus.
3.Inatoa melanin inayokulinda na jua hivo mionzi ya jua huunguza sana ngozi.
4.Huondoa unyevunyevu wa ngozi na kuifanyabkuwa kavu zaidi.
Utakubaliana nami madhara ni makubwa kuliko faida.
Lakini kuna mbadala;
Bidhaa za Oriflame hutengenezwa na Malighafi asilia na ni salama kabisa kwa matumizi yako.
Kama leo hii unatamani kuacha kutumia vipodozi vikali basi karibu tutakuanzishia utaratibu wa bidhaa ambao kwanza kabisa utaituliza na kuipooza ngozi yako kisha baada ya hapo utapata Bidhaa ambayo itang'arisha ngozi yako kwa usalama zaidi ikiwa imethibitishwa na viwango vyote.
Tunza ngozi yako amua kuwa mrembo wa kutumia bidhaa salama.
Kwa ushauri zaidi wasiliana:
Call& Sms 0657262147
WhatsApp 0764536186
Credit @kisura
Comments
Post a Comment