Activelle Ant-perspirant Deodorant

*Activelle Anti-perspirant Deodorant Invisible Spray and Roll on*

Hii pia ni deodorants nzuri iliyotengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu kusaidia isiache alama nyeupe nyeupe kwenye nguo zako kwa madini yake kama sillicon
inakupa ulinzi wa jasho kali na harufu mbaya ndani ya masaa 24 kwa asilimia 97
Haiharibu yako bali inaendelea kuitunza na taratibu hupunguza weusi weusi kadiri ya matumizi ya mara kwa mara na ina harufu nzuri sana.

Ya ku Spray ni Tshs 14,000/=
Ya kupaka ni Tshs 9,000/= Jipatie set yako sasa
Na Ufurahie bidhaa asilia za Oriflame.
Unaweza wasiliana nami kupitia

Call & Sms 0657262147
WhatsApp 0764536186 
Kwa kuweka order yako.
@Arusha, Tanzania

Comments