Ujachelewa bado Karibu sasa Tuliamshe Dude Nairobi 3 days Full paid with Big company in da world @oriflame @oriflame_eastafrica . Ni Director Seminar. Itakayo fanyikia @radissonblunbo na Baadae Bata ni pale @carnivore
Sijui unajisikiaje au utajisikiaje siku hiyo Utakapo Qualifie Kwenda Director Seminar Na mwewe @businessclass alafu baadae unalala 5☆★ hotel bure. Karibu sasa Watu wameshaanza fikia vigezo toka mwezi March 3. Kama wao wameweza sisi tunashindwaje Njoo sasa nikupe Mbinu nikufunze hii biashara ya kijanja kupitia mitandao ya kijamii nk. Utimize malengo na ndoto zako.
Karibu sana sana Muda ni Pesa Haungoji mtu Ukienda haurudi Tupo uwanjani kila mtu anapambana kutimiza Malengo yake na Kuziishi ndoto zake. Tumia First half yako vzr sababu hujui second half yako Mwalimu [Coach] ambaye ni #Mungu ana Mipango gani juu ya team Huwenda akakubadilisha namba na kukupa majukumu mengine usipate nafasi ya kuuonyesha ubora wako na hsta Ukiuonyesha usiwe wa maana au manufaa kwa team wakati huo. Au akakutoa kabisa usipate nafasi tena ya Kudhihirisha ubora wako siku hiyo. Na uanze kujutia kwa Kuuchezea Muda wako uliopewa Tunaishi Mara 1 Tumepewa muda 1 wa kutimiza malengo yetu na Kuziishi ndoto zetu. Jee wewe Umefanya nini katika muda Uliopewa? Fikiri/Fikiria.
Karibu Oriflame
1.Upendeze
2.Utengeneze pesa
3.Ufurahie Maisha
Unataka kujua unafanye karibu
Unaweza wasiliana nami kupitia
Call & Sms 0657262147
WhatsApp 0764536186
@Arusha, Tanzania
Comments
Post a Comment